Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waafrika huwa wanaunda katiba halafu wanaiacha wanafuata utamaduni... 😂😂😂
 
Hilo dongo address yake linaenda wapi?
 
Hakuna lugha ya kubembelezana muda mwingine wazowee maneno magumu!
 
Huyu ni kama puto lililojazwa upepo, namjua vizuri sana, ni msomi asiyejiamini, mwoga na hana mawazo huru
 

Misimamo ipi? Mbona alimgeuka Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…