Dkt. Ndugulile: Kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano kati ya Kampuni ya simu na Mteja wake

Dkt. Ndugulile: Kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano kati ya Kampuni ya simu na Mteja wake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake.

Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana hiyo namby za kawaida haziruhusiwi kutumika.

100.jpg
 
Huyu Dr. Wizara ya afya ingemfaa zaidi, huko pengine ni bure tuuu.

Matapeli huwezi wajia kwa mbinu nyepesi hvyoooo, hebu wawabane makampuni ya simu na wafanyakazi wao ndo wana siri ya utapeli huu wa njia ya mawasiliano ya simu
 
Mwanzo mzuri na niwajibu wa makampuni ya simu kuwajuza wateja wao kuwa any communication kwao ni number 100 nyingine sepa kabisa na ikiwezekana piga pini
 
Viongozi wanaongea city minor sana

Unaacha hoja ya Makampuni kuwaibia wateja eti mnabaki na matapeli

Waziri kabisa unamwakilisha Rais unaongea mambo minor
 
Nasikiaparking siku hizi ni kidigitali

Sasa kabla hamjaanza kutusumbua na magari yetu hapa kariakoo naomba mushughukikie kero za malori yanavyoziba njia hapo

Kariakoo ni kama vile serikali haipo, iko siku panaweza kugeuka uwanja wa vurugu kwa jinsi malori yanavyosumbua watumuaji wengine wa barabara
 
📌 Ujumbe Kutoka TCRA📌

Watoa huduma huwasiliana na wateja wao kupitia namba 100 TU!

#Epuka Matapeli!


@TCRA_Tz

IMG-20210903-WA0046.jpg
 
Asante kwa kutukumbusha

Wacha nasi tuwakumbushe watu wetu wa karibu wa karibu🙏
 
MCHONGO NI HUU HAPA
@TCRA_Tz Mawasiliano baina ya Mtoa Huduma za Mawasiliano ya Simu na Mteja wake ni kupitia namba 100 Tuu! Epuka Matapeli wanaotumia namba binafsi kupiga simu na kujitambulisha kama watoa huduma kutoka mtandao wa simu unaotumia.

#kamasionamba100potezeaa
IMG-20210910-WA0507.jpg
 
Sasa huyu mwenye namba 0789008..... ndio nani? Maana haipiti wiki mbili naambiwa kuna.muamala umekosewa hivyo nirejeshe kiasi nilichokua nacho kwenye simu.
 
Wametoa hyo namba ila bado mitandao inapigia watu kwa namba tofauti Kwanin na wao wasitumie hyo namb 100 kupigia wananchi
 
Hawa washenzi wanakupigia simu, ukionyesha tu kuwa umewashitukia wanaanza kukumwagia matusi hatari.

Kama hawa mavi wenye namba hii 0674625418 walionipigia juzi.
 
Back
Top Bottom