Dkt. Ndugulile kujiuzulu ubunge Februari 2025 atakapothibitishwa rasmi kuwa Mkurungenzi mpya wa WHO-Afrika

Boi Manda

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
388
Reaction score
506
Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika.

Alitoa umauzi huo wa kuachana na kuwatumikia wapiga kura wake wa jimbo la Kigamboni leo jioni Septamba 2, 2024 alipokuwa akihojiwa na radio ya idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (DW Swahili).

Akihojiwa na mtangazaji wa radio hiyo Sudi Mnette, Dr. Ndugulile alisema atajiuzulu nafasi yake ya Ubunge Fabuari 2025 baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa Mkurugenzi mpya wa WHO Afrka.

Dr. Ndugulile alisema atachukua uamuzi huo wa kuachia ngazi nafasi yake ya Ubunge ili apate muda wa kutosha wa kufanya kazi za WHO.

Alisema vipaombele vyake ni vinne na kutaja kimoja kuwa ni kuimarisha mifumo ya afya kwenye bara hili la Afrika ili kuthibiti magonjwa ya milipuko na kwamba atakabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya nyani (Mpox).

Alisema akiwa kwenye nafasi hiyo atazitumikia nchi 45 za Afrika zenye idadi ya watu kakribani billion 1.5.

Comasava

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
 
Dkt. Faulting Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika.

Alitoa umauzi huo wa kuachana na kuwatumikia wapiga kura wake wa jimbo la Kigamboni leo jioni Septamba 2, 2024 alipokuwa akihojiwa na radio ya idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (DW Swahili).

Akihojiwa na mtangazaji wa radio hiyo Sudi Mnette, Dr. Ndugulile alisema atajiuzulu nafasi yake ya Ubunge Fabuari 2025 baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa Mkurugenzi mpya wa WHO Afrka.

Dr. Ndugulile alisema atachukua uamuzi huo wa kuachia ngazi nafasi yake ya Ubunge ili apate muda wa kutosha wa kufanya kazi za WHO.

Alisema vipaombele vyake ni vinne na kutaja kimoja kuwa ni kuimarisha mifumo ya afya kwenye bara hili la Afrika ili kuthibiti magonjwa ya milipuko na kwamba atakabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya nyani (Mpox).

Alisema akiwa kwenye nafasi hiyo atazitumikia nchi 45 za Afrika zenye idadi ya watu kakribani billion 1.5.

Comasava

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Hii imekaa vizuri. Sidhani tena kama kutakuwa na uchaguzi mdogo kwa ajili ya jimbo la Kigamboni. Maana itakuwa imebakia miezi 4 bunge la awamu ya 2020-25 kumalizika
 
Back
Top Bottom