Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.

Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.

Chanzo: Swahili times
 
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.

Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.

Source: Swahili times
sawa ila kila siku tutakua tuna hakiki lain tuuuuuu kha mtuache kidogo jaribuni kuangalia mbinu mpya yahilo mnalo tafuta
 
Huyo waziri ukitizama bichwa lake unaona tu unajua ana tatizo la brain 🙁

Hawa ndio watamsumbua sana Mama... kama alishajua kuna tatizo ajiuzuru tu maana zoezi tu lilileta hasara kwa Taifa...

Mama tunakuomba ukubali wazo la waziri mwenye matatzo ya brain usajili urejewe upya kwa gharam za Ndugulile binafsi
 
Jinga sana hakuna Waziri aliyemzima kichwani katika tawala haramu.
 
viongozi wengi wanaomsaidia mama ni either wamelala au hawajui majukumu yao...Hadi mama aongee ndiyo wanatoka huko waliko...mambo ya ajabu kweli.
Haya yote yamesababishwa na mwendazake. Serikali yake ya ""One Man Show""
 
Back
Top Bottom