Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.

Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.

Source: Swahili times
Dah! Kweli hivi ni jambo na vijimambo
 
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.

Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.

Chanzo: Swahili times
Tuliambiwa hili ndio suluhisho sasa uhakiki wa nini tena..kwamba vidole si vyangu?
 
🤑🤑🤑🤑🤑

💸💸💸💸

Zipo zipo inatafutwa kila njia ziliwe tu..

"Mtanikumbuka.."
 
Mfumo unamruhusu mtumiaji mwenyewe kuhakiki usajili wake wa number yake kama upo sahihi...na kama utakuwa na walakini anapewa nafasi ya kwenda kuweka data zake sawa ila si kwa wote tuanze tena zoezi upya hapana.
 
Nadhani laana ya kumkataa bashite kigamboni itatuandama kwa muda mrefu sana
 
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.

Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.

Chanzo: Swahili times

Huyu Dr naona anakosea sana nia ni kuzuia uhalifu hivyo wawezesheni polisi waweze kufuatilia ujambazi wa mitandao sio vijimaneno vya mitandaoni na vi group
 
walitusumbua wajinga hawa leo wanaongea upumbav tena inaonyesha kitechonojia tuko nyuma sn na wala wahusika awajiongezi ata kuiga kwa wali endelea wamekua wanaendeshwa na matukio na siasa
 
Back
Top Bottom