johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wasituchoshe wao kila siku wako kwenye majaribio.Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
sawa ila kila siku tutakua tuna hakiki lain tuuuuuu kha mtuache kidogo jaribuni kuangalia mbinu mpya yahilo mnalo tafutaWaziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
hahha virojaNa Bado mtaambiwa zoez la vutambulisho vya TAIFA wataanza upya maana wamegundua kitambulisho kimoja kinamilikiwa na watu wawil wawil
Upigaji upigaji upigaji upigaji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu siyo tatizo lake! Ni tatizo la Mwendazake na SSH! Anatakiwa arudishwe Wizara ya Afya.Waziri mpumbavu katika serikali ya Magu hadi Samia
Apigwe chini tu. Kichwa kibovu yule.Mkuu siyo tatizo lake! Ni tatizo la Mwendazake na SSH! Anatakiwa arudishwe Wizara ya Afya.
Haya yote yamesababishwa na mwendazake. Serikali yake ya ""One Man Show""viongozi wengi wanaomsaidia mama ni either wamelala au hawajui majukumu yao...Hadi mama aongee ndiyo wanatoka huko waliko...mambo ya ajabu kweli.