uhakiki huo utakiwa na tofauti gani na usajiri wa awali?Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Huyu jamaa kazi imemshinda.Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Wajinga ❌Hivi Tanzania kwenye orodha ya wananchi wapole na wajinga tunashika nafasi ya ngapi kidunia?
Huyu ni vema akarudishwa wizara ya afya maana haina mtu ina mwigizaji, huku amefeli mapema sn amebaki kutoa matamko pekee.Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Per diem zitapigwa balaaProject za kula posho tu...
Hivi tatizo ni uhalali wa umiliki au matumizi ya hizo laini? Mathalani mtu anatumia simu iliyosajiliwa na ndugu yake si kwa biashara ya utapeli, kusambaza habari chafu na za uongo au matusi kuna shida gani?Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Hilo linakuja ndugu yangu maana kuna waziri kule bungeni alisema kitambulisho cha NIDA si "muhuri" wa utanzania kwavile hata wakimbizi na wageni wanavyo.Na Bado mtaambiwa zoez la vutambulisho vya TAIFA wataanza upya maana wamegundua kitambulisho kimoja kinamilikiwa na watu wawil wawil
Upigaji upigaji upigaji upigaji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapo vyote vyote mkuu.Wajinga ❌
Wapumbavu ✅
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Hawa ni wapumbavu, wanasema wana mitambo sijui wanamtishia nani, kwanini wasiitumie wawakamate hao wanaosema hawamiliki simu kihalali mpaka waje mtandaoni watishietishie watu, kwanini wasababishe usumbufu kwa mamilioni ya watu wakati wahalifu ni wachache sana na wanaweza kuwapata kwa hiyo mitambo yao.Nchi ya matukio hii 😀
Na driving Licence nayo hukawii kusikia wanahakiki upya...Na Bado mtaambiwa zoez la vutambulisho vya TAIFA wataanza upya maana wamegundua kitambulisho kimoja kinamilikiwa na watu wawil wawil
Upigaji upigaji upigaji upigaji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chezea kubambika, mtihani wakumaliza la saba pambika ufaulu 97) %.walioenda form one wengine hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu. mtu iliapewe mkopo wa elimu ya juu kigezo ni umasikini wake na si ufaulu wake. kufanya kazi electronically hhhuleta matokeo ya haraka, usahihi na ufanisi. Almradi mfumo ujengwe kwa uweledi, utunzwe, ufanyiwe kazi na mwenye kuujua, data zinaingizwa ziwe sahihi. mifumo inakiwa iendeshwe na watu intelligent na ilishwe data sahihi ilikupata zao sahihi "gabbage in gabbage out"Hizi project ni dili za watu, nchi hii ujinga ujinga mwingi sana, unahakiki nini wakati umesajili kwa Nida,taarifa za kila mmiliki wa laini anajulikana.......sasa huu ni usumbufu kwa Watanzania