Dah! Kweli hivi ni jambo na vijimamboWaziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Source: Swahili times
Tuliambiwa hili ndio suluhisho sasa uhakiki wa nini tena..kwamba vidole si vyangu?Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Chanzo: Swahili times
eti kumbuka? hatuwezi ndugu - yeye alale salama aliyotufanyia yatosha!!π€π€π€π€π€
πΈπΈπΈπΈ
Zipo zipo inatafutwa kila njia ziliwe tu..
"Mtanikumbuka.."
Hahahaaaa......!Tuliambiwa hili ndio suluhisho sasa uhakiki wa nini tena..kwamba vidole si vyangu?
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Chanzo: Swahili times