Pre GE2025 Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama spwika mfukuzwa alichapa bakora ili asipingwe apite free na mwendazake aliwapa watu vyeo ili wasigombee wamuache mtuwake ampendae apite free huo si ujuha wahali yajuu!!
Viongozi wawili wa mihimili mikuu walikuwa waajaabu na chama kiliwasifu daima... Hicho ni chama Cha kuaminika kweli??? Na mpakasasa viongozihao wapo madarakani kwawingi
 
Uzuri MUNGU ni FUNDI alitumalizia MCHEZO
 
Mzee nkapa alishindwa kumbeba mwanae ? Hii sio kamba kweli au Mzee alikuwa kauzi
 
January Makamba , Nape Nnauye , Kasimu Majaliwa na Riziwani Kikwete ni miongoni mwa wachache kati ya wengi waliopita bila kupingwa
 
Kutokana na madai mengi ya Chadema, nawashauri wasusie uchaguzi wa 2024/25 mana madai yao mengi hayajafanyiwa kazi
 
Ni kweli lakini si mngesema mapema jamani why msubiri sasa?
 
Akili zimerudi sio
 
Wadanganye wasiokujua!

Kwanza nani alichaguliwa wakati nyote mshakiri kuwa kama siyo Magu hamko bungeni?

Tena wewe una visa vya ajajbu, hadi mtu anajiuliza huyu ni daktari wa binadamu kweli! Maana unategemewa uwe na some moral authority lakini huna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…