Ndugulile mwenyewe kupita ashukuru Kikwete alipewa ubunge kama pole ya rambirambi baada ya kufiwaILegacy inatiwa dosari
Kikwete ndiye akimuombea kwa Magufuli kuwa muonee huruma kafiwa mpe ubunge kufuta machoziMakonda alipata kura nyingi kuliko Ndugulile ila Shujaa Magufuli akavuta waya na kuagiza Faustine awe namba 1 ππ₯
Hata yeye anajua hili
Mungu anisamehe ila HAKUNA MWANASIASA MPUUZI KULIKO UPUUZI WA CCM KAMA HUYU NDUGULILE."Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahaliβ Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa βMtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani..?β
Hata hivyo Ndugulile amesema alikuwa na uhakika wa kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni katibu muenezi wa CCM Taifa.
βMimi sijawai kuwa na uchaguzi rahisi kigamboni na uwa sipendi uchaguzi mwepesi, hata 2015 niligombea na vigogo wengi akiwemo mtoto wa Rais Mkapa lakini nilishindaβ Ndugulile.
Huyu naye ni mtafuta kick tu ya kukubaliwa na waliochukua CCM sasa. Mbona hakupinga wakati huo."Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahaliβ Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa βMtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani..?β
Hata hivyo Ndugulile amesema alikuwa na uhakika wa kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni katibu muenezi wa CCM Taifa.
βMimi sijawai kuwa na uchaguzi rahisi kigamboni na uwa sipendi uchaguzi mwepesi, hata 2015 niligombea na vigogo wengi akiwemo mtoto wa Rais Mkapa lakini nilishindaβ Ndugulile.
Yaani huyu mbunge ni mzigo kuliko wabunge wote wa majimbo niliyoishi. Bogus MP.Huyu ye mwenyew watu wa kigamboni tushamchoka..! Tangu naanza kujielewa si chini ya miaka 10+ nasikia yeye ni mbunge wa huku kigamboni! lakin kila siku kigambon ipo vilevile
Hahahah kipindi cha wajumbe kupiga hela kimewadia. Bila 200M asishobokee form kabisaπMagu alisimamia msimamo kuwa kama kakupa nafasi kisha ukajitia tamaa kugombea nafasi nyingine haupati.
Faustine anajitia kiburi tu..ila 2025 atamkumbuka Magu..pale wajumbe watakapomuambia bila millioni 00 asijisumbue kugombea..
Mkuu vyovyote iwavyo, kasema ukweli! Hilo tu linatosha!Huyu si ndiye alisaidiwa na Mwendazake dhidi ya Mwenezi au namfananisha
π€πHahahah kipindi cha wajumbe kupiga hela kimewadia. Bila 200M asishobokee form kabisaπ
πππππ€ππMbunge ni mpaza sauti tu, mleta maendeleo ni serikali.
Ndungulile sio bubu bungeni, anatetea mengi ya kigamboni
Ubunge ni ulaji ndugu yangu hata wewe ukipata nafasi hawez kufanya hayo unayoyafikiria kama serikali iliyopo madarakani haijaona umuhimu .Huyu ye mwenyew watu wa kigamboni tushamchoka..! Tangu naanza kujielewa si chini ya miaka 10+ nasikia yeye ni mbunge wa huku kigamboni! lakin kila siku kigambon ipo vilevile
Magufuli ni shetani.Legacy inatiwa dosari
alifiwa na nani?Ndugulile mwenyewe kupita ashukuru Kikwete alipewa ubunge kama pole ya rambirambi baada ya kufiwa
Legacy ya nan MkuuLegacy inatiwa dosari
Mgombea wa Chadema alitekwa ili Majaliwa apite bila kupingwaKassim Majaliwa alipita bila kupingwa
Baba yake mzazialifiwa na nani?