Kuna Daktari ni Mganga Mkuu wa Wilayaya Nkasi, mimi nashauri tungeenda na huyo.View attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.
Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
Mhhhh mchaga hawezi kupewa kwq vyovyote vileTwende na huyu Daktari maana tayari yuko kwenye mfumo. Naunga mkono hoja
Labda hakuhamasishwa. Lakini on paper and deliverables huyu Daktari yuko vizuri sana.Karibu wote mnaochangia hamjui chochote kuhusu namna hiyo nafasi ya WHO inavyogombaniwa na kumpata mshindi, mnadhani ni special site for Tanzania kisa aliyekuwa anaishikiria alikuwa mtanzania. Siyo nafasi ya kurithishwa kwa misingi ya kinchi ikiwa aliyekuwa anaishikiria ataandoka.
Kwa mfano, kwa hizo sifa zilizoelezwa hapo (kama ni kweli), basi haya yangepaswa kuwa yametokea;
1. Huyo mwanamama angeingia kwenye mchuano wakati ule ule Dr. Ndugulile akigombea. Why? Nafasi ilikuwa wazi kugombaniwa na mtu yoyote.
2. Huenda Dr. Ndugulile asingefanikiwa kumpiku huyo mama kwa sifa za kimataifa kuweza kutoboa kwenye kinyang'anyiro cha WHO.
Swali la kujiuliza;
Huyo mwanamama alikuwa wapi wakati Dr. Ndugulile akigombea?
Jibu linaweza kuwa rahisi sana. Jibu ni rahisi sana, Nia, ujasiri, mipango, mikakati na Connection.
Kwa sasa huyu ni kabila gani hadi akigombea awe mçhaga¿Mhhhh mchaga hawezi kupewa kwq vyovyote vile
mama wa nyumbaniWewe mke wako hana sifa hizo?
Nimeandika hapo kabla, kama hizo sifa ni zake kweli basi kwa jicho la WHO ana sifa kubwa mara dufu ya kufaa kwa Dr. Ndugulile. Sasa kwanini hakugombea wakati ule?Labda hakuhamasishwa. Lakini on paper and deliverables huyu Daktari yuko vizuri sana.
Kuna majina ya kihaya na kichaga hapo sasa hatujui labda kwa upande wa wazazi au mume wake.Mchaga huyu au
Mkuu huu mzaha ni kiwango cha chekecheaKuna Daktari ni Mganga Mkuu wa Wilayaya Nkasi, mimi nashauri tungeenda na huyo.