Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

Huijui sekta, kaa kimya pimbi wewe. Huyo Isaac ni msanii tu kama kina Mwijaku tofauti yao ni specialisation tu
We ni mpuuzi wa kiwango Cha juu, professional, profile ipo inaonekana eti msanii, una wivu kuliko mke wako
 
Naomba kuuliza...hivi hii kazi ni ya ki nchi? Au kwa maana nyingine ni lazima mrithi atoke Tz?
Kanuni za kazi kuhusu hili WHO zinasemaje? Unaposema "anafaa kugombea nafasi" ..ina maana atashindani na waTz tu au na wengine toka mataifa mengine tena? WHO watafanya interviews tena?
Mwenye majibu tafadhali tufahamishe.
 
We ni mpuuzi wa kiwango Cha juu, professional, profile ipo inaonekana eti msanii, una wivu kuliko mke wako
Polepole basi mbona povu la omo kwa fujo? Au wewe ndiye Dr Isaac mwenyewe. Basi tambua tu kuwa wewe bado kinda, endelea kujifunza
 
Naomba kuuliza...hivi hii kazi ni ya ki nchi? Au kwa maana nyingine ni lazima mrithi atoke Tz?
Kanuni za kazi kuhusu hili WHO zinasemaje? Unaposema "anafaa kugombea nafasi" ..ina maana atashindani na waTz tu au na wengine toka mataifa mengine tena? WHO watafanya interviews tena?
Mwenye majibu tafadhali tufahamishe.
Atashindana na mataifa mengine Of course
 
View attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.

Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.

Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.

Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
Ile nafasi hairudi tena tz shehe,imekufa na dr ndungu.
 
Bado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali 😀🤣😀🤣
Bado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali
 
Co
Bado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali
Copy and paste 😀🤣😀, highest level of stupidity 👆
 
Copy and paste 😀🤣😀, highest level of stupidity 👆
You showing the public that you are bare headed person, that's why you are keep reposting my replies,shame bon you Huihui 2, 🤣🤣🤔🤔
 
Back
Top Bottom