Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
We ni mpuuzi wa kiwango Cha juu, professional, profile ipo inaonekana eti msanii, una wivu kuliko mke wakoHuijui sekta, kaa kimya pimbi wewe. Huyo Isaac ni msanii tu kama kina Mwijaku tofauti yao ni specialisation tu
Mtu hajawahi kuwa hata DMO, ndiyo unpendekeza kwa kazi kubwa hivyo?? Wewe ni PIMBI tuHongera kwa kuchagua ujinga!! I can see Lack of objectivity and particularlity!πππ€£π€£π€£
Polepole basi mbona povu la omo kwa fujo? Au wewe ndiye Dr Isaac mwenyewe. Basi tambua tu kuwa wewe bado kinda, endelea kujifunzaWe ni mpuuzi wa kiwango Cha juu, professional, profile ipo inaonekana eti msanii, una wivu kuliko mke wako
Atashindana na mataifa mengine Of courseNaomba kuuliza...hivi hii kazi ni ya ki nchi? Au kwa maana nyingine ni lazima mrithi atoke Tz?
Kanuni za kazi kuhusu hili WHO zinasemaje? Unaposema "anafaa kugombea nafasi" ..ina maana atashindani na waTz tu au na wengine toka mataifa mengine tena? WHO watafanya interviews tena?
Mwenye majibu tafadhali tufahamishe.
Bado huelewi unajibu ujinga!!Polepole basi mbona povu la omo kwa fujo? Au wewe ndiye Dr Isaac mwenyewe. Basi tambua tu kuwa wewe bado kinda, endelea kujifunza
Huna unalolijuwa kwenye sekta, pita kuleBado huelewi unajibu ujinga!!
Majina hayo bila shaka ni mhayaKwa sasa huyu ni kabila gani hadi akigombea awe mΓ§hagaΒΏ
Bado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali ππ€£ππ€£Huna unalolijuwa kwenye sekta, pita kule
Ile nafasi hairudi tena tz shehe,imekufa na dr ndungu.View attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.
Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
Kweli mkuu kama ni yule bwana nilie fanya nae kazi na Plan International,hana uwezo wa kuvaa hicho kiatuMkuu huu mzaha ni kiwango cha chekechea
Bado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojaliBado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali ππ€£ππ€£
Copy and paste ππ€£π, highest level of stupidity πBado upo kwenye personal level, kujadili hoja huwezi, huna analytical skills za kujenga hoja, Pole sana, naomba ruhusa Yako nikuite BUMUNDA kama hutojali
You showing the public that you are bare headed person, that's why you are keep reposting my replies,shame bon you Huihui 2, π€£π€£π€π€Copy and paste ππ€£π, highest level of stupidity π
Ndio ww mwenyewe unajipigia debe nini?Kuna Daktari ni Mganga Mkuu wa Wilayaya Nkasi, mimi nashauri tungeenda na huyo.
Ndiyo Mwalimu, karibu sana Nkasi.Ndio ww mwenyewe unajipigia debe nini?