The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa,
Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na majaji kwenye sanduku maalumu alilokua amewekwa mahakamani hapo
Soma Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa
Kesi hiyo itapangiwa tarehe ingine na msajili wa mahakama kwani leo ndio ilikua siku ya mwisho ya awamu hii Lissu amerejeshwa rumande ambako amekaa kwa sazaidi ya siku 220 sasa