Kukiwa na vuguvugu la maandamano tar 7 July, 2026
Na kesi ya Lissu kuahirishwa parefu Hadi tar 6 July, 2026
Zingatia hizo tarehe..why tar 6?
Je unaweza kusema waja kule wanawaza Nini?
Au wanapanga Nini😊
Soma pia Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026...
Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA...
Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa,
Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na...
Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi.
---
Upande wa...
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa
Tundu Lissu amesema
Hii kesi...
Wakuu,
Niliwapa spana kidogo Mahakama ya Kisutu baada ya kurusha kesi ya Lissu mubashara video ikiwa hovyo, nyeusi na haionekani vizuri, sauti ndio usiseme, ni kama tulikuwa tunaangalia tu watu wakinyanyuka na kukaa lakini sauti hakuna.
Pia soma: Pre GE2025 - Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.