Unadhani kuna nini kinaendelea hadi Kesi ya Lissu kusogezwa Julai 6?

Hakuna kitu, hapo wamesogeza kwanza wapewe maelekezo ya nini cha kufanya kulingana na upepo wa EU/US utakavyokuwa wakiona pressure kubwa usishangae rufaa kutupwa mbali na DPP akamtoa ila wakiona pressure imepungua basi wataendeleza hiyo rufaa hata miezi 6.

Kuna mambo hii nchi yanakera sana, kwani wanacholazimisha kwenye hayo maridhiano ni nini? Si wameshinda 98% sasa wanataka kuridhiana na 2% ama??
 
Unadhani gen Z hawawapi pressure?
 
Wanajua uchaguzi haukufanyika... Na hawakushida
 
Back
Top Bottom