Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Tuone Mara ngapi?
Tuone Mara ngapi?
Hakuna kitu, hapo wamesogeza kwanza wapewe maelekezo ya nini cha kufanya kulingana na upepo wa EU/US utakavyokuwa wakiona pressure kubwa usishangae rufaa kutupwa mbali na DPP akamtoa ila wakiona pressure imepungua basi wataendeleza hiyo rufaa hata miezi 6.
Kuna mambo hii nchi yanakera sana, kwani wanacholazimisha kwenye hayo maridhiano ni nini? Si wameshinda 98% sasa wanataka kuridhiana na 2% ama??
Ni wazi ni 'calculatrions' hapa zinafanywa; ila jambo la ksikitisha ni kuwa wanatumia hizo 'pressure' toka huko nje katika hesabu zao na kudharau kabisa kinachoweza kuwatokea ndani kwa ndaniHakuna kitu, hapo wamesogeza kwanza wapewe maelekezo ya nini cha kufanya kulingana na upepo wa EU/US utakavyokuwa wakiona pressure kubwa usishangae rufaa kutupwa mbali na DPP akamtoa ila wakiona pressure imepungua basi wataendeleza hiyo rufaa hata miezi 6.
Kuna mambo hii nchi yanakera sana, kwani wanacholazimisha kwenye hayo maridhiano ni nini? Si wameshinda 98% sasa wanataka kuridhiana na 2% ama??
Kwamba aachiwe tarehe sita, na kesho yake waTanzania wanamaliza kazi.Lissu ataachiwa tarehe 6 ili kuzima maandamano. Tunza uzi huu.
Lbibi lipumbavuLibibi la kizimkazi linamuogopa sana Lissu!
Tarehe 6 Julai ni siku ya Uhuru wa Malawi.Kukiwa na vuguvugu la maandamano tar 7 July, 2026
Na kesi ya Lissu kuahirishwa parefu Hadi tar 6 July, 2026
Zingatia hizo tarehe..why tar 6?
Je unaweza kusema waja kule wanawaza Nini?
Au wanapanga Nini😊
JK ndiye yuko nyuma ya udhalimu wote unaoendelea nchini.Hivi JK yupo kweli nchii inaenda hali Jojo hivi?
Inauma sana huyu mzee kishiriki kwenye hii dhambiJK ndiye yuko nyuma ya udhalimu wote unaoendelea nchini. View attachment 3605419View attachment 3605420
Ile picha ya JK na mshauri wa Trump inaweza kuwa imesababisha hili. Wanaangalia je kama jamaa atawasaidia kupunguza pressure ya US au lah.Hakuna kitu, hapo wamesogeza kwanza wapewe maelekezo ya nini cha kufanya kulingana na upepo wa EU/US utakavyokuwa wakiona pressure kubwa usishangae rufaa kutupwa mbali na DPP akamtoa ila wakiona pressure imepungua basi wataendeleza hiyo rufaa hata miezi 6.
Kuna mambo hii nchi yanakera sana, kwani wanacholazimisha kwenye hayo maridhiano ni nini? Si wameshinda 98% sasa wanataka kuridhiana na 2% ama??
Nasemaje, tarehe 3 hadi 6 Lissu atakuwq nje ili kudhoofisha maandamano ya 7/7 na isipotokea basi tujiandae kwa lockdown.Kwamba aachiwe tarehe sita, na kesho yake waTanzania wanamaliza kazi.
Hiyo ndiyo itakuwa kazi ya kutukuka..
Mimi nakushauri utunze haya niliyokueleza mimi.
Japokuwa ni mwenye mbwa ndiye anayeelekeza lakini nafikiri joji bado anakumbuka hizi nondo alipokuwa anafundishwa kazi za mwanasheria mkuu bungeni na Simba
Tujikumbushe kidogo...
View: https://youtu.be/_VL1dtxLG3k?si=KBzz4qmvs5us8RTA
Polisi wasipangiwe lini wawe wapi na wakati gani, wao wana intelijensia ya kujua la kufanya kwaajili ya raia.Predictive science inahitajika hapa