Mimi sio CHADEMA wala CCM lakini nina ubinadamu; Hivi Tundu Lissu amewakosea nini?

Mimi sio CHADEMA wala CCM lakini nina ubinadamu; Hivi Tundu Lissu amewakosea nini?

Mama yenu Chura kiziwi alikuja na “R” nne. Moja ya “R” hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko. Lisu akamuunga mkono Mama kwa kusema “Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi” (NO REFORM, NO ELECTION). Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama
 
Lisu hana sababu ya kufanywa anachofanywa

Ni ulimbukeni wa madaraka na ushamba wa majukumu unasababisha ateswe

Ila hata kama samia hafai 'LISU'
Hafai zaidi yake

Ndio ukweli mchungu mwenye kununa anye Ngama kabisa
 
Dhuluma tu za kijinga.Siasa ni kazi yenye ushetani ndani yake.Inawezekana vipi unaona sawa kuwafunga watu bila hatia,unachelewesha hukumu zao makusudi,mbaya zaidi unaua watu kwa ajili ya madaraka.

Anyway,sijui sana haya mambo lakini huko kwenye siasa huenda kuna maagano ya giza mengi sana.Haiwezekani mtu akishakuwa mtu wa siasa ubinadamu anaweka kando.
 
Hilo swali unheuliza kwa watu wote waliopo magereza kuwa wamekosea nini angalau ningekuona zinachaji!

Swali kwako pia mbona wewe upo hapa unazogoa? Na haupo ndani?
 
Sio mwana chama wa taasisi yoyote lkn ubinadamu ninao. Huyu binadamu TAL amewakosea nini
Mambo matatu ambayo wanawafanya watawala na chama chao kumnyima Tundu Lissu uhuru wake ni
1. Ufisadi mkubwa wa pesa na mali za Tanganyika
2. Rushwa na mikataba ya ovyo
3. Usultani , mtoto wa Mwinyi ni rais Zanzibar na huku bara Kikwete anapambana kijana wake nae awe rais. So watawala wako tayari kupambana na hata kuua yeyote anaetishia kuharibu status quo
 
KOsa lake ni kuingia na kutaka kuwasha taa kwenye chumba cha nyama ambacho fisi wamekivamia.

Yani ni kuwafungua macho wa Tanganyika kuhusu mafisadi ya ccm na mara rushwa yanayokula kupigia kodi za watanganyika bila kuleta maendeleo ama kuwajibika.
 
Back
Top Bottom