PostGE2025 Dkt. Nshala: Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho lazima aonekane kwa Jaji au Hakimu anayesikiliza kesi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa,

Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na majaji kwenye sanduku maalumu alilokua amewekwa mahakamani hapo

Soma Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

Kesi hiyo itapangiwa tarehe ingine na msajili wa mahakama kwani leo ndio ilikua siku ya mwisho ya awamu hii Lissu amerejeshwa rumande ambako amekaa kwa sazaidi ya siku 220 sasa

Your browser is not able to display this video.
 
Hii kutawaliwa na akili ndogo kuna jaribu mfumo yote ya nchi iwe Polisi, ofisi ya mwendesha mashtaka, mahakama, time ya uchafuzi
 
Kizimba cha Kificho mwisho wake ni 9D lazima kisalimiwe
 
Sumu haionjwi. Ingieni tena
Ni mwendo wa kuzima mitandao tu,halafu TRA waje waombe radhi kwa changamoto zitakazowapata wateja wao,huku nchi za wahisani wakiendelea kutafakari juu ya misaada tunayoomba baada ya matumizi kwenye unaoitwa uchaguzi.
 
Ajifiche abadilishwe sauti iwe ya kike atajulikana tu
 
Ajifiche abadilishwe sauti iwe ya kike atajulikana tu
 
😀😀😀Lissu kesha malizana nao huyo mashahidi hatakuja tena..maana kwa pingamizi zile mawakili wa serikali hawamywezi
 
Ajifiche abadilishwe sauti iwe ya kike atajulikana tu
 
Ajifiche abadilishwe sauti iwe ya kike atajulikana tu
 
Hivi kama mtu anatoa ushahidi genuine.Anaogopa nini kuutoa hadharani?
 
Wewe kibaka Yericko Nyerere hata ukiwekwa kwenye box akuone jaji pekeyake na ubadili sauti, tambua sauti yako tunaijua tunasubiri hiyo siku tu.
Nchi ya ajabu sana hii, yani shahidi katika kesi ambayo hukumu ni mtu kunyongwa anataka ajulikane na polisi tu!
 
Hivi kama mtu anatoa ushahidi genuine.Anaogopa nini kuutoa hadharani?
Huu mtindo wa shahidi kujificha wakati anatoa ushahidi ukikubalika watu wengi sana watafungwa.
 
Nchi ya ajabu sana hii, yani shahidi katika kesi ambayo hukumu ni kunyongwa anataka ajulikane na polisi tu!
NI mambo ya ajabu sana kama kweli kuna kesi ya msingi kwanini shahidi afichwe ili asifanyiwe cross examination kujua kama hadanganyi?
 
Ni mwendo wa kuzima mitandao tu,halafu TRA waje waombe radhi kwa changamoto zitakazowapata wateja wao,huku nchi za wahisani wakiendelea kutafakari juu ya misaada tunayoomba baada ya matumizi kwenye unaoitwa uchaguzi.
Acha akili ya kitumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…