Akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leo Septemba 19, 2026, Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema;
“Kamati Kuu inasema kile kilicholengwa na Tume ya Jaji Lila ni kutaka kusafisha Watawala na Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia na kuwabambikia watu wengine na mauaji au vurugu zile za Oktoba 29.
Kamati Kuu inasisitiza Tume pekee itakyoweza kuchunguza mauaji yale lazima itokane na wasimamizi na wachunguzi huru kama ambavyo ilivyofanyika kwenye mauaji yaliyotokea Kenya mwaka 2007 na 2008 chini ya aiyekuwa Katibu Mkuu Koffie Annan."