bora yeye anajulikana chadema, wewe hata Lumumba hawakujui!huyu mzee nshala ndio maana anadharaulika sana pale chadema,
na uwezo wake mdogo ndio ulimfanya hata mtuhumiwa uhaini asithubutu kumuweka awe miongoni mwa mashahidi watetezi wake,
kwasababu angemkaanga na kumsagia kunguni labda zaidi hata ya heche na amani![]()