Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

nadhan ni jambo la kawaida kwenye uongozi, kwamba unaweza kuwekwa kando mahali Fulani kutokana na sababu Fulani leo, lakini pia ukarejeshwa kwenye nafasi ile ile kwa malengo na madhumuni Fulani mahususi kesho πŸ’

na ndio maana,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve a certain social, political or economic objectives πŸ’

and that is why this happened..

well done comrade, President Dr Samia Suluhu Hassan..
 
Legasi ya Jiwe , daah !
Legasi ya Jiwe , dah !

Tulipitishwa pagumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…