Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
bila vigezo vip sasa šKatiba mpya ni muhimu sana... Haiwezekana CEO wa shirika fulani anateuliwa tu. Tunatakiwa tubadilike. Ina maana kwa katiba hii naweza kwenda kijijini kwetu nikachukua classmate wangu akawa mkurugenzi hata bila ya vigezo