Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Ni Dkt.Moremi Marwa ambae alitimuliwa na Mwendazake Kwa kuthibitisha Uwepo wa uviko 19 Kupitia ushahidi wa maabara.

Shirika la Afya Duniani Huwa linamuenzi Dr Mwele Kwa kuanzisha tuzo ya Sayansi ya Magonjwa ambukizi ya Mwele Malecela inayotolewa Kwa watafiti Kila mwaka.

View attachment 2960667

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19

My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣

nadhan ni jambo la kawaida kwenye uongozi, kwamba unaweza kuwekwa kando mahali Fulani kutokana na sababu Fulani leo, lakini pia ukarejeshwa kwenye nafasi ile ile kwa malengo na madhumuni Fulani mahususi kesho 🐒

na ndio maana,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve a certain social, political or economic objectives 🐒

and that is why this happened..

well done comrade, President Dr Samia Suluhu Hassan..
 
Ni Dkt.Moremi Marwa ambae alitimuliwa na Mwendazake Kwa kuthibitisha Uwepo wa uviko 19 Kupitia ushahidi wa maabara.

Shirika la Afya Duniani Huwa linamuenzi Dr Mwele Kwa kuanzisha tuzo ya Sayansi ya Magonjwa ambukizi ya Mwele Malecela inayotolewa Kwa watafiti Kila mwaka.

View attachment 2960667

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19

My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣

Legasi ya Jiwe , daah !

Legasi ya Jiwe , dah !

Tulipitishwa pagumu sana.
 
Back
Top Bottom