Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha............. afadhali nasi tuna PisiKali japo chache, maana jamaa walitucheka sana kwamba Mkoa wa Mara hauna PisiKali 😅🙌Hmm haya bana.
Kila mtu na macho yake.
Kila mtu na viwango vyake.
No offense 😀.
Mange ni CCM!Serikali Haina mda wa kuhangaika na upuuzi wa Mange,imewaachia Machadema ndio maana Rais Yuko busy na kazi zake.
Anhaa!Hahahaha............. afadhali nasi tuna PisiKali japo chache, maana jamaa walitucheka sana kwamba Mkoa wa Mara hauna PisiKali 😅🙌
Halafu Magufuli alikuwa anasemekana ana PhD ya Chemistry, lakini arguments zake zilikuwa sawa tu na za mganga wa kienyeji msoma nyota toka Sumbawanga.Magufuli alikuwa bwege sana halafu covid-19 hiyo hiyo ikaja kumpitia dadeq
Walau tuna cha kujivunia now 😜Anhaa!
Hapo sasa nimekuelewa vizuri kabisa.
Katiba mpya ni muhimu sana... Haiwezekana CEO wa shirika fulani anateuliwa tu. Tunatakiwa tubadilike. Ina maana kwa katiba hii naweza kwenda kijijini kwetu nikachukua classmate wangu akawa mkurugenzi hata bila ya vigezonadhan ni jambo la kawaida kwenye uongozi, kwamba unaweza kuwekwa kando mahali Fulani kutokana na sababu Fulani leo, lakini pia ukarejeshwa kwenye nafasi ile ile kwa malengo na madhumuni Fulani mahususi kesho 🐒
na ndio maana,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve a certain social, political or economic objectives 🐒
and that is why this happened..
well done comrade, President Dr Samia Suluhu Hassan..
Shujaa wa nyoko?? Mashine imetengenezwa kupokea sampuli za binadamu, yule hayawani anapeleka papai, alitarajia apate majibu gani?Hakunaga wa kumtukana shujaa Magufuli Hapa Tanzania kumzidi bint Kimambi
Yule mdada wa Tandika ni laana 🐼
Narudia mara 10 tena Magufuli alikuwa BWEGEBwege alikuwa mamako kuhongwa dagaa na kukuleta duniani
Huna matusi kumzidi Mange 😂😂Shujaa wa nyoko?? Mashine imetemgemezwa kupokea sampuli za binadamu, yule hayawani anapeleka papai, alitarajia apate majibu gani?
Eti shujaa!! My foot
Mwigullu na CAG KichereMagufuli mwenyewe alikuwa anawarudisha watu aliowatengua mwenyewe. Hata siyo kitu kipya.
Ni Dkt.Moremi Marwa ambae alitimuliwa na Mwendazake Kwa kuthibitisha Uwepo wa uviko 19 Kupitia ushahidi wa maabara.
Shirika la Afya Duniani Huwa linamuenzi Dr Mwele Kwa kuanzisha tuzo ya Sayansi ya Magonjwa ambukizi ya Mwele Malecela inayotolewa Kwa watafiti Kila mwaka.
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Tumepitia kipindi kigumu sana naomba mungu tusirudie tena huko.Shujaa wa nyoko?? Mashine imetemgemezwa kupokea sampuli za binadamu, yule hayawani anapeleka papai, alitarajia apate majibu gani?
Eti shujaa!! My foot
Zile zilikuwa zama za giza,corona ilitufaa sana watanzania kutuondolea lile jinamiziTumepitia kipindi kigumu sana naomba mungu tusirudie tena huko.
Tuendelee kumshukuru Mungu na kila uombeapo SIRI-kali , mwisho sema MAPENZI YAKO YATIMIE.Zile zilikuwa zama za giza,corona ilitufaa sana watanzania kutuondolea lile jinamizi
Ni Dkt.Moremi Marwa ambae alitimuliwa na Mwendazake Kwa kuthibitisha Uwepo wa uviko 19 Kupitia ushahidi wa maabara.
Shirika la Afya Duniani Huwa linamuenzi Dr Mwele Kwa kuanzisha tuzo ya Sayansi ya Magonjwa ambukizi ya Mwele Malecela inayotolewa Kwa watafiti Kila mwaka.
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Mange akajibiwe na rafiki zake wa chadema maana matusi wanayawezaNdio vyema hakuanza huyo january na nape si walirudi kitambo.Mange anawaita huko mkajibu mapigo!