Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Hatukomi na hatuachi. na kwa jinsi mnavyokereka ndiyo furaha yetu. Mumelaaniwa mutegemeao marehemu wa Chato
Mnaokereka ni nyinyi na hata ukiangalia maneno mnayotumia ni maneno makali yenye kuonyesha mnakereka kuona kuna watu bado wanamkubali mtu(ingawa ameshafariki) ambaye nyinyi mnamchukia, mfano kutuambia kuwa Magufuli ni mungu wetu ni maneno ya mtu ambaye ameshavurugwa na hasira anaropokwa tu.

Sisi hatuna hasira na mtu hivyo tunaishi kwa amani ila pole kwenu ambao mnaishi na hasira kwa mtu ambaye ameshafariki.
 
Back
Top Bottom