Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

1. Hivi majirani mlio karibu na makaazi ya VP hali ya kuingia na kutoka watu kukoje huko?

2. Kwani hadi sasa familia ya VP wanasemaje?

4. Wafanyakazi wa ofisi ya VP wanasemaje?

5. JK, Pengo na Rugabwa wanasemaje?

6. Pascal Mayalla anasemaje?

7. Nasser Abdul na Khadija Kopa wanasemaje?

8. Je asipoenda leo kwenye hayo maadhimisho na badala yake kukawa na mwakilishi itatafsirika vipi?
Hao waandaaji heri wange ahirisha kama uhakika wa mgeni rasmi hatakuwepo,inaweza kuleta taharuki kubwa zaidi.
 
Leo si ndio tarehe 6 wajameni amefika huko kwa kikao huyo mwamba?
 
[emoji173]nahisi anapendwa,maana siyo kwa kumtafuta huko
Yupo humble sana , mara nyingi watu wanaofunga mikono namna hii ni watu wanyenyekevu sana.
mqdefault(1).jpg
mpango-ni-nani-pc-data.jpg
 
Back
Top Bottom