Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Yupo humble sana , mara nyingi watu wanaofunga mikono namna hii ni watu wanyenyekevu sana.View attachment 2834315View attachment 2834316
Hakuna cha humble apa, sema yupo na cheo ambacho hawezi onesha makucha yake, Uyu mama alikua hivi wakati ni makam, je ulitegemea angeyafanya haya anayowafanyia watanzania leo ,

Kwake kile chochote ataletewa mezani bila kujali za hali za watz effect katika maisha yao ni twende tu,

Tunaona tozo kuanzia kwenye miamala na walisema wanaziondoa wapi!
Mfumuko wa bei katika matumizi ya kila siku ila ndo bado anaona bei ya mafuta ipande

Watu wanaiba wala hawaguswi.
Watu wanalalamika na mambo mbali mbali zikiwemo maliasili zao yeye ndo anakwambia anakaa kimiya
So Mpango tusimpe sifa, cha msingi tumtakie majukum Mema huko aliko
 
Screenshot_20231206_083440_Gallery.jpg

Ni huku Arusha kwenye ukumbi wa AICC kuanzia leo tarehe 6. Karibuni

My Take
Sina my take yeyote
 
Back
Top Bottom