Hapa ndio umesema kwa weledi. Chanzo cha haya maneno ya hovyo mitaani ni tabia chafu ya serikali yetu kupenda kusema uongo.
Hakuna anayemuombea mabaya VP wetu hata kidogo, lakini wameshindwa nini kuwaambia raia wake kama ni mgonjwa ili nasi tumuombee dua njema?
Kwani binadamu gani huwa haugui? Hayo ya kusema eti yuko kikazi nje ya nchi kimya kimya ni dharau kwetu na kwa mgonjwa (kama anaumwa) na ndio yanafanya watu wajiulize au hayupo tayari?
Taharuki mwasisi wake ni dola yenyewe!
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app