Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

Atafanya nini huyo mchumi fake zaidi ya kumsifia jiwe na kujifanya mtu wa dini saana kwa tuvifungu alitokariri?
Huyo ni aina ya wasomi waliokulia Dar na hawajui shida na kwao walikuwa hawaendi,yeye ndio tunapaswa kumshangaa kwa kushangaa Hali za wananchi
Kingine huyu ndio kawa mchumi toka enzi za Jk Hadi leo hii lakini hajui anachosimamia ,watu wa hivi ni wasomi maamuma wa kupuuzwa,seems anasimamia sera za uchumi za kwenye madafutari/nadharia.
Nilitegemea mchumi kama yeye aje na sera za kuinua kipato cha watu na kuwawekea mazingira rafiki kwenye urafutaji wa kipato lakini ndio Kila siku kuna utitiri wa kodi za kijinga,tra iko kukomoa watu badala ya kuwawezesha,wao mipango yao ni kununua ndege na kujenga airports kwa ajili ya watu wasio na uwezo wa kupanda yaani Hawa wasomi ni shida tupu
Hata Buhigwe ameenda wakati wa kampeni za uchaguzi 2020, alikuwa hana muda napo!
Atafanya nini huyo mchumi fake zaidi ya kumsifia jiwe na kujifanya mtu wa dini saana kwa tuvifungu alitokariri?
Huyo ni aina ya wasomi waliokulia Dar na hawajui shida na kwao walikuwa hawaendi,yeye ndio tunapaswa kumshangaa kwa kushangaa Hali za wananchi
Kingine huyu ndio kawa mchumi toka enzi za Jk Hadi leo hii lakini hajui anachosimamia ,watu wa hivi ni wasomi maamuma wa kupuuzwa,seems anasimamia sera za uchumi za kwenye madafutari/nadharia.
Nilitegemea mchumi kama yeye aje na sera za kuinua kipato cha watu na kuwawekea mazingira rafiki kwenye urafutaji wa kipato lakini ndio Kila siku kuna utitiri wa kodi za kijinga,tra iko kukomoa watu badala ya kuwawezesha,wao mipango yao ni kununua ndege na kujenga airports kwa ajili ya watu wasio na uwezo wa kupanda yaani Hawa wasomi ni shida tupu
Ha ha ha! Kweli mkuu, huyo Daktari wa mipango hata Buhigwe ameenda wakati wa uchaguzi was 2020, long time no see him there!
 
Back
Top Bottom