Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ficha ujingawako kidogo, amesema "matukio" Sasa kama huna akili ndio unaweza kuweka justification zako kulingana na uelewa wako.Hayo maneno aliyotamka yalitakiwa yaambatane na uamuzi wa kukaa kando kwenye hicho cheo alicho nacho ili aendane na maneno aliyotamka..! Huyu ni mtu ambae anadhani anaweza kumfurahisha Mungu kwa maneno na kuonyesha unyenyekevu wa kinafiki huku yeye ni sehemu ya udhalimu! Mbona tukio la Mzee kibao hatukumsikia..Fr. Kitima ana thamani zaidi mbele za Mungu kuliko Mzee Kibao? km huu sio unafiki ni nini..
Nasikitika sana, lakini Makamu wa Rais ni kama analaza akili za watu. Ulaghai wa lugha kama hizi hizi ndio umetufikisha hapa tulipo sasa. CCM, taratibu, ndani kwa ndani ndio wametumika na kulegezwa kwa lugha za aina hii, angalia sasa tulipofikia na ulaghai huo..View attachment 3324455"Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya hapa nchini ambayo hayakubaliki kabisa mahali popote.
Nawaomba sana Mahashamu Maaskofu na wote walioumizwa na tukio hili baya (kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania) kujikabidhi kwa Mungu pale tunapoumizwa na udhalimu kama tunavyosoma katika Waraka wa kwanza wa Petro, sura ya pili aya ya kumi na tisa ambayo inasema "maana huu ndiyo wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu pale ateswapo isipo haki"
Aidha nawasihi sana watanzania wote tuendelee kupendana na kusimama pamoja kulaani matendo haya mabaya yasiyoakisi Tanzania yetu inayosifika kama kisiwa cha Amani."-Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza kwenye Sherehe za uzinduzi wa Jimbo Jipya la Katoliki Bagamoyo leo Mei 04, 2025.
Inawezekana.Hana baya!.
Huyu si aliomba kujiuzuru, imekuwaje tenaView attachment 3324455"Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya hapa nchini ambayo hayakubaliki kabisa mahali popote.
Nawaomba sana Mahashamu Maaskofu na wote walioumizwa na tukio hili baya (kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania) kujikabidhi kwa Mungu pale tunapoumizwa na udhalimu kama tunavyosoma katika Waraka wa kwanza wa Petro, sura ya pili aya ya kumi na tisa ambayo inasema "maana huu ndiyo wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu pale ateswapo isipo haki"
Aidha nawasihi sana watanzania wote tuendelee kupendana na kusimama pamoja kulaani matendo haya mabaya yasiyoakisi Tanzania yetu inayosifika kama kisiwa cha Amani."-Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza kwenye Sherehe za uzinduzi wa Jimbo Jipya la Katoliki Bagamoyo leo Mei 04, 2025.
..who cried you fool, hayo matukio ameyafahamu leo?Ficha ujingawako kidogo, amesema "matukio" Sasa kama huna akili ndio unaweza kuweka justification zako kulingana na uelewa wako.
Mzee ameongelea matukio kwa ujumlawake, kama hujamuelewa stop crying, uliza ueleweshwe.
..foolishness!Hana baya!.
Hakuna aliyewahi kufanikiwa kuwasaka na kuwakamata majambazi wa Serikali.View attachment 3324455"Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya hapa nchini ambayo hayakubaliki kabisa mahali popote.