Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
C3D27006-12C8-4EC4-AE6C-8486BF1C8A88.jpeg


Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20

Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.

EBEB27BD-E521-4354-B7F6-672CD07A6A4D.jpeg


Kura za Urais:

President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29

Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.

1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
 
Chama pekee cha kitaaluma kisichoburuzwa na Dola.

- Cha Pili ni Chama cha Madaktari.

Yaani hawa TLS wanawapa serikali tabu sana, kila siku wanachagua viongozi ambao Dola haiwapendi, hawaburuzwi.
Yaah jiwe na genge lake wamehangaika sana kila wajiribu wanaangukia PUA sio wapuuzi wale sijui chama cha waalimu na wajinga wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom