Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first
Unataka rais wa TLS awe maarufu na mwenye influence ipi?
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first
Umeuliza " Mbona Huyo bwana sio maarufu?"

Huyu ni mtu anayeiu izuri taaluma yake , ni maarufu sana kwa wale wanaohitaji service yake, na wanaopenda kazi zao zifanywe kwa ufanisi. Sio mtu wa kiki na kutafuta umaarufu.

Tuombe asibadilike. Na kama hakubadilika kun wengi humu JF watamchukia na kumtukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanzania (TLS) chapata Rais wake kwa mwaka 2019/20

Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.

Kura za Urais:

President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29

Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.

1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.

1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa

Ndugu zangu ma Ustaadh mnafelia wapi ???

Sent from my Sonny Ericsson using Tapatalk
 
Back
Top Bottom