Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Chama cha ovyo Ni cha walimu.ungekua uamuzi wangu ili uitwe mwl lazima uwe na shahada moja
Walimu ni walimu Mkuu, hata wawe na shahada.

They are psychologically manipulated. Yaani hawana self- decision na hawajiamini, ni kama walokole. Wako possessed
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa mfano hiyo TLS imebadirisha nini katika hii nchi tangu muanze kusema inashikwa na watu wasio ccm
?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CCM yenye kutawala nchi hii toka uhuru imebadilisha nini kwenye nchi zaidi ya Majina,Tanganyika kuwa Tanzania na TANU kuwa CCM?Huku nchi ikiendelea kuogolea kwenye Lindi la umaskini wa kutupwa!
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first
Unamuona Lissu sasa huyu jamaa alikuwa Rais wa Leat na Lissu katibu kama huijui leat muulize Mkapa
 
Well done TLS for upholding democracy in your institution, please continue fighting for the values that support the rule of law and respect for human rights.
 
Utadhani chama cha kidini yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo nimeamini Lissu ana ushawishi mkubwa sana kwa jumuia ya mawakili wasomi nchini. ..
Ushawishi huu na sympathy kwa wananchi utaishangaza dunia oct 20
Hongera sana Nshala
Hivi hao mawakili ambao sio wasomi wanapatikana wapi hapa duniani?
 
Hili swali linathibitisha ni jinsi gani ulienda shule kusomea ujinga!

Nikitaka kufanya 'reference' ya 'mwanasheria-pori' nitakurejelea wewe kama case study!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ni mwanasheria kuwa sio msomi, nikauliza ni wapi wanasheria wanakuwa sio wasomi, ukasema wapo bush lawyers / wanasheria pori, nikakuuliza huwa wanapata degree zao maporini? (Hii ni Sarcasm), lengo ni kutaka kujua upori wao upo wapi. Sasa kujifanya mjuaji badala ya kujibu hoja kama ilivyo ni uxhoga na uxenge tu.
 
Chama pekee cha kitaaluma kisichoburuzwa na Dola.

- Cha Pili ni Chama cha Madaktari.

Yaani hawa TLS wanawapa serikali tabu sana, kila siku wanachagua viongozi ambao Dola haiwapendi, hawaburuzwi.
Usisahau chama cha walimu CWT
 
7 Apr 2019
Rais wa TLS aanza awamu yake kwa msisitizo kuwa haki na utawala wa sheria ni dira ya TLS na anatafanya bidii na ushawishi kuona vitu hivyo vikitawala ktk mfumo wa kiutawala / maamuzi ya serikali , mahakama na nchi kwa ujumla

Rais Mpya wa Tanganyika Law Society (TLS), Dr Rugemeleza Nshala amesema atahakikisha anayaendeleza yote yale mema ambayo viongozi wengine wameyafanya na kusimamia sheria bila kuonea Mtu yeyote
 
Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichwa maji vinasifu baadae vitaanza kusema kanunuliwa kimaamuzi.

HONGERA ZAKE RAISI WA TLS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…