Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Dr R Nshala, Conglts sana kwa ushindi wako wa kishindo.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].

Napenda sana kutoa shukurani zangu na za wapenda HAKI, kwa wajumbe wote wa TLS kwa kukuamini na kukuchagua kuiongoza TLS.

TLS inaendelea kupata Kiongozi bora tena kipindi hiki, toka 2017.

Huu ni ushindi kwa wapenda HAKI wote Tanzania.
 
View attachment 1064467

Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20

Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.

View attachment 1064353

Kura za Urais:

President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29

Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.

1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Rugemeleza = msimamisha mambo/mnyoosha mambo
Nshala= sala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi Hongera nilizisikia taangu wa Tundu Lissu na Sijaona Kazi wanazifanya Board za Kihuni kama hizi hazina Nafasi kwa taifa I like NBAA
NBAA wamefanya nini? Mkuu bado unahangaika na makaratasi badala ya kutafuta Pesa

Khaa hii nchi kila fani inaboard kuanzia phamarcy mpaka matapeli

Kila board na wajinga wake, badala ya kisaidia watu kuwa matajiri
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first

Ukiwa ww ni wa zamani Plse, Jikumbushe mhusika mkuu khs Ile Habari ya Kutoa Takrima ktk Chaguzi iliokuwa imepitishwa na wana PL street.
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first
Hii ni TAALUMA sio sanaa wala siasa mkuu, ndio maana tunatambuana kama WASOMI. Influence ya mwanasheria ipo kwenye uwezo wake wa kitaaluma na sio umaarufu wa kina Pierre Konki au Bashite.
 
NILIMPENDA SANA SEKA JAPO SIYO MWANASIASA...... Kaka Seka ingia siasani utujue sisi.
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first
Mkuu Huyu Muhaya yupo vizuri mnoo, Ana CV ya kutisha kwelikweli kwa mtazamo wangu huyu alistahili baada ya Lissu, hakupaswa kumsubili Fatma Karume.

Kuwa maarufu si kitu,kuna watu wamesoma kwelikweli na kufanya kazi mataifa na taasisi kubwa tofauti ila sio wanaopenda kujulikana hovyohovyo.

Huyu jamaa ni jembe, Naomba Mungu walau nifikie robo tu ya mafanikio yake kitaaluma na hata kiuchumi,
 
Hii ni TAALUMA sio sanaa wala siasa mkuu, ndio maana tunatambuana kama WASOMI. Influence ya mwanasheria ipo kwenye uwezo wake wa kitaaluma na sio umaarufu wa kina Pierre Konki au Bashite.
Exactly 100%
Mwambie huyo Mkuu, Umaarufu si kitu ndani ya fani ya sheria, Uwezo wa kitaaluma, Ujengaji Hoja ni baadhi ya vitu muhimu vinavyoakisi ubora wa mwanasheria.
Dr. Nshala ni Jembe, Ni mtu sahihi kabisa, Ebu nitajieni mgombea mwingine aliyesoma Harvard university kati ya waliokuwa wagombea wenzake
 
View attachment 1064467

Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20

Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.

View attachment 1064353

Kura za Urais:

President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29

Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.

1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Hii safi sana. Dr Nshalla hayumbishwi na mtu yeyote yule kutoka juu au chini. Nawashukuru sana wana TLS kwa kumchagua huyu mtu makini na mchapakazi. Nahsuri mwaka ujao agombee wakili Peter Kibatala kisha amuachie wakili Jebra Kambole. Hii itasaidia kukijenga chama zaidi na zaidi.
 
Pateni maelezo kidogo kuhusu Dr Nshalla, kwa wale msiomfahamu vizuri wakuu:

Rugemeleza Nshala, SJD candidate Harvard Law School.
ruge.png
Rugemeleza Nshala, is a Doctor of Juridical Studies (S.J.D) candidate at Harvard Law School. He holds a Bachelors of Laws Degree (LL.B) from the University of Dar es Salaam, Tanzania (his home country), which he obtained in 1993; the Masters of Laws Degree (LL.M) from Harvard Law School and Masters of Environmental Management (MEM) from Yale School of Forestry and Environmental Studies that he obtained in 1997 and 2007, respectively. In 1994, he co-founded Lawyers' Environmental Action Team (LEAT), one of the first public interest environmental law organizations in eastern and central Africa. Its formation spurred the formation of similar organizations in other African countries.
His dissertation focus is on the regulatory and tax law reforms in the mining industry in African countries. This issue is important because African countries have, since the late 1980s, amended their mining and tax laws to pave the way for foreign investment in the sector, often at the urging of the World Bank. They have also privatized their state-owned mining companies. For his research, Mr. Nshala has carried out field research in Ghana, Tanzania, Zambia and Botswana. He has also undertaken extensive research of FDI and negative repercussions of investment incentives on mineral-rich countries.​
 
Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa

Any way I like their life style

Mbona Huyo bwana sio maarufu?

Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence

God first


Maarufu sana huyu..labda huwa mzito kifatilia masuala ya sheria..alikua hakauji chanel ten enzi hizo..tena huyu akiongea utadhan anaenda kupigana😂😂
 
Hapa ndipo nimeamini Lissu ana ushawishi mkubwa sana kwa jumuia ya mawakili wasomi nchini. ..
Ushawishi huu na sympathy kwa wananchi utaishangaza dunia oct 20
Hongera sana Nshala
.....
.....Kabisaa Mkuu
 
Back
Top Bottom