Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasonga Ni Mtanzania bana, Ila tu anapenda kujipebdekeza kwa utawala unaokandamiza watu, so to hell with him.
Ukiwa msomi na supporter wa huyo Jiwe, unatakiwa ukapimwe uwezo wako wa ubongo, isipokuwa tu kama wewe ni mchumia tumbo utasamehewa.Yaah jiwe na genge lake wamehangaika sana kila wajiribu wanaangukia PUA sio wapuuzi wale sijui chama cha waalimu na wajinga wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
The Anointed, the TAL blessed.....Tundu ni nomaaa. Has powers inbuilt in his words/soul.View attachment 1064467
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20
Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.
View attachment 1064353
Kura za Urais:
President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29
Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Pandikizi tupa kule....Naona kama Ufipa watupu.......kazi kweli kweli!
Hakuna habari ya wrong job hapa... The job is known TLS President for the period 2019 /2020Hongera raisi mpya TLS ni imani yetu tumepata the right person for the right job and NOT the right person for wrong job.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maana yake Lumumba mwenye sifa hakuna....Naona kama Ufipa watupu.......kazi kweli kweli!
Unaleta udini baada ya Lumumba kuangukia pua...Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Ndugu zangu ma Ustaadh mnafelia wapi ???
Sent from my Sonny Ericsson using Tapatalk
Asanteni sanaThis is TLS!
TUWATAKIE KILA LA KHERI MAJAALIWA NA SISI TUTAFIKA KUWA WAWAKILISHI WAPYA HAPO BAADAE. BRAVO FOR THE WINNERS OF 2019/2020.View attachment 1064467
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20
Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.
View attachment 1064353
Kura za Urais:
President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29
Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Yes. Na Wasonga tumemkataa tenaAsanteni sana
Ngwilimi amekosa tena?
Mmeamua vyema
Tundu Lissu kiboko aisee/Hapa ndipo nimeamini Lissu ana ushawishi mkubwa sana kwa jumuia ya mawakili wasomi nchini. ..
Ushawishi huu na sympathy kwa wananchi utaishangaza dunia oct 20
Hongera sana Nshala
Tupo kule tunadhibiti msiwaibie wananchi WanyongeDkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Ndugu zangu ma Ustaadh mnafelia wapi ???
Sent from my Sonny Ericsson using Tapatalk
Naona kama Ufipa watupu.......kazi kweli kweli!
Chama cha ovyo Ni cha walimu.ungekua uamuzi wangu ili uitwe mwl lazima uwe na shahada mojaChama pekee cha kitaaluma kisichoburuzwa na Dola.
- Cha Pili ni Chama cha Madaktari.
Yaani hawa TLS wanawapa serikali . uamuzi, kila siku wanachagua viongozi ambao Dola haiwapendi, hawaburuzwi.