View attachment 1064467
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20
Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.
View attachment 1064353
Kura za Urais:
President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29
Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa