Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

Kwenu dunia itaisha bila hata wa kumaliza form 4!
 
Shida ya hii nchi unajitolea unakufa unaoza wanakuja akina Nape wanapiga tuu fedha... wanazaliwa vijana hata bandari hawailindi.. uzarendo value yake inakuwa 0
Umeoana ee!!? Hii ndiyo Tanzania.
 
Na wewe!!! Amtishe nani huyo anatafuta umaarufu tu! Wameshaanza kuona dalili ya kubuma kwa upotoshaji wao wa bandari wanatafuta huruma!!
Vibaka toka ukosa chogo naona mmeishiwa hoja mnataka kututisha sasa
 
Mimi kama raia nina haki ya kufanya hivyo kwa nchi yangu je! wewe umetumwa na nani kupinga.
 
Acheni kauli za kibaguzi!
DP World ni wawekezaji. Kuwaita waarabu ni kauli za ubaguzi.

Acheni pia upotoshaji. Hakuna bandari iliyouzwa,itakayouzwa wala ardhi aliyopewa muwekezaji.
 
Halafu ni mtu mmoja mstaarabu sana. Anajali sana ustawi wa jamii yake. Hana baya, shida ya serikali yetu ni kukataa watu kuusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…