Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

Wahaya bado tu tunajuwa ulikuwa USA sasa tukufanye nini? kajenge nyumbani Bukoba ulete heshima sio kujivunia vyuo onesha umefanya nini? Mtu hata uwe na degree 10 ni tabia zako mbele za watu ndio inakupa uhalisia wako, Huyo prof wako kuongea tu unamjuwa mtu maisha yamempiga anaona vipi mwanfunzi wangu kasoma hapa Dar tu leo speaker wa bunge, atakufa kwa roho mbaya yeye na yule mzee Issa miaka nenda miaka rudi wako hapohapo.
Kwenu dunia itaisha bila hata wa kumaliza form 4!
 
Shida ya hii nchi unajitolea unakufa unaoza wanakuja akina Nape wanapiga tuu fedha... wanazaliwa vijana hata bandari hawailindi.. uzarendo value yake inakuwa 0
Umeoana ee!!? Hii ndiyo Tanzania.
 
Na wewe!!! Amtishe nani huyo anatafuta umaarufu tu! Wameshaanza kuona dalili ya kubuma kwa upotoshaji wao wa bandari wanatafuta huruma!!
Vibaka toka ukosa chogo naona mmeishiwa hoja mnataka kututisha sasa
 
Mimi kama raia nina haki ya kufanya hivyo kwa nchi yangu je! wewe umetumwa na nani kupinga.
 
Wasiojulikana bado wapo, kama walifanya kazi huyu msaliti akiwa msaidizi na hakuwahi kuwakemea, sitashangaa msaliti nae akiamua kuwaacha wasiojulikana wamsaidie kuwafunga watanganyika midomo wanaolilia ardhi yao iliyopewa mwarabu.

Anawaacha wasiojulikana wamsaidie kwasababu ameshaona maji yamezidi unga, watanganyika wanachachamaa, japo alijidai kuziba masikio lakini sasa anaona kelele zinazidi, huku majibu ya maswali ya watanganyika akiwa hana, Samia anaelekea kuchanganyikiwa.

Huyu mtu anayeelekea kuchanganyikiwa anaweza kuja kuwa dikteta mbaya zaidi ya wote, kwasababu anajua anaongoza watu wasiomuamini, hivyo hata akijitahidi vipi itakuwa ngumu kwake kurudisha imani kwao, lakini pia, mamlaka makubwa aliyopewa kikatiba, anaweza kuyatumia kuwaumiza anaowaongoza, hasa kwa tabia zake za kukomoana kama alivyomfanya Job.
Acheni kauli za kibaguzi!
DP World ni wawekezaji. Kuwaita waarabu ni kauli za ubaguzi.

Acheni pia upotoshaji. Hakuna bandari iliyouzwa,itakayouzwa wala ardhi aliyopewa muwekezaji.
 
Dr Nshala ni mzalendo bahati nzuri mimi binafsi namjua kama Kaka. Huyu kaka ni kati ya wanasheria wenye uwezo mkubwa Duniani sio Tanzania pekee. Yaani huyu ni zaidi ya Chenge maana ni mzalendo na hajaweka mbele kujinufaisha. Mimi nilishaongea naye kuhusu kuja USA na atatengeneza zaidi ya $200K kwa mwaka lakini akangangania kubali Tanzania na kwenye jumuia yetu pale Ununio na kazi zake za kupigania mazingira......

Serikali ingetakiwa kumfanya rafiki maana sio mwanasiasa ni Mtaifa tu.
Halafu ni mtu mmoja mstaarabu sana. Anajali sana ustawi wa jamii yake. Hana baya, shida ya serikali yetu ni kukataa watu kuusema ukweli.
 
Back
Top Bottom