Dkt. Ryoba: Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Dkt. Ryoba anasema kuwa Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi.

Anaogeza kuwa Waliona matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa njia nyingine, hivyo walicjagua amani kuliko maandamano, ndio maana hata wale watu walipoitisha tena Desemba 9 hawakutoka, ikaja tena 25, hawakutoka sababu walichagua amani.
 
View attachment 3572762

HILI TAKATAKA LINATUFUTA UTEUZI BLOOD BASTARD
 
View attachment 3572762
Dkt. Ryoba anasema kuwa Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi.

Anaogeza kuwa Waliona matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa njia nyingine, hivyo walicjagua amani kuliko maandamano, ndio maana hata wale watu walipoitisha tena Desemba 9 hawakutoka, ikaja tena 25, hawakutoka sababu walichagua amani.

Mbona toka Commonwealth team iingie propaganda zimeongezeka kwa kasi sana?
 
Alafu huyu mtangazaji sijui East Africa walimtoa wapi ni mjuaji sana. Eti tarehe 9 December akili ziliwarudi vijana kwamba tarehe 29 hawakuwa na akili? Yaani anashabikia vijana kufa kwamba?

Very biased journalist
 
Back
Top Bottom