Pre GE2025 Dkt. Samia kinara wa demokrasia ulimwenguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
880
Reaction score
971
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.

Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.

Amefungua milango kwa majadiliano ya kisiasa kati ya vyama vyote Nchini, hali inayoleta mshikamano wa kitaifa na kukuza maendeleo ya demokrasia.

Ameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kuendelea bila vikwazo, jambo lililorejesha imani kwa Viongozi wa Kisiasa na Wananchi kwa ujumla katika siasa za ushindani wa haki.

Pia kupitia Uongozi wake Dkt Samia amewapa Viongozi wakisiasa fursa ya kuwafikia wananchi na wafuasi wa vyama vyao, kueleza sera zao na kushiriki katika mijadala ya kitaifa kwa uhuru zaidi.

Kama haitoshi na kwa ukubwa wake ameimarisha uhuru wa vyombo vya habari ambao haukuwepo huko nyuma kwa kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinazuia utendaji huru wa Wanahabari.

Haya ni baadhi tu ya machache katika mengi ambayo ameifanyia Tanzania yetu katika kuimarisha Demokrasia
20250307_145703.jpg
 
Leo nimetonywa na daktari kuwa UTI sugu kwa watanzania imeamua kukaa kichwani baada ya kuona chawa hawana mda na viungo vya chini
 
BILA KATIBA MPYA,
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI
BILA KUWA HURU BAADA YA UHURU WA KUJIELEZA, HIZO ZOTE NI HEKAYA.
 
maneno matamu ambayo ni maneno machungu kwa wapinzani
 
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.

Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.

Amefungua milango kwa majadiliano ya kisiasa kati ya vyama vyote Nchini, hali inayoleta mshikamano wa kitaifa na kukuza maendeleo ya demokrasia.

Ameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kuendelea bila vikwazo, jambo lililorejesha imani kwa Viongozi wa Kisiasa na Wananchi kwa ujumla katika siasa za ushindani wa haki.

Pia kupitia Uongozi wake Dkt Samia amewapa Viongozi wakisiasa fursa ya kuwafikia wananchi na wafuasi wa vyama vyao, kueleza sera zao na kushiriki katika mijadala ya kitaifa kwa uhuru zaidi.

Kama haitoshi na kwa ukubwa wake ameimarisha uhuru wa vyombo vya habari ambao haukuwepo huko nyuma kwa kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinazuia utendaji huru wa Wanahabari.

Haya ni baadhi tu ya machache katika mengi ambayo ameifanyia Tanzania yetu katika kuimarisha DemokrasiaView attachment 3262556
Hebu kuwa serious ndugu!
 
Maana yake ni kuwa SSH ni Rais bora kuliko wote waliomtangulia.
 
Na falsafa yake ya 4Rs,
imeiliunganisha Taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Na sasa mambo ni babmbam kisiasa, kijamii, kiuchmi, kitaifa na kimataifa.

Ama kwa hakika Dr.Samia Suluhu Hassan ni kinara wa demokrasia ulimwenguni 🌹
 
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.

Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.

Amefungua milango kwa majadiliano ya kisiasa kati ya vyama vyote Nchini, hali inayoleta mshikamano wa kitaifa na kukuza maendeleo ya demokrasia.

Ameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kuendelea bila vikwazo, jambo lililorejesha imani kwa Viongozi wa Kisiasa na Wananchi kwa ujumla katika siasa za ushindani wa haki.

Pia kupitia Uongozi wake Dkt Samia amewapa Viongozi wakisiasa fursa ya kuwafikia wananchi na wafuasi wa vyama vyao, kueleza sera zao na kushiriki katika mijadala ya kitaifa kwa uhuru zaidi.

Kama haitoshi na kwa ukubwa wake ameimarisha uhuru wa vyombo vya habari ambao haukuwepo huko nyuma kwa kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinazuia utendaji huru wa Wanahabari.

Haya ni baadhi tu ya machache katika mengi ambayo ameifanyia Tanzania yetu katika kuimarisha DemokrasiaView attachment 3262556
Topic za kijinga na uongo tunaomba webmaster uzifute
 
Wewe kweli mgonjwa wa akili!! Tena mgonjwa hasa!

Kuteka na kuua wakosoaji ndiyo demokrasia??

Kumtumia mkwe wake kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndiyo demokrasia ya ninyi punguani?

Hivi unajua kuwa huyo shetani wako ameweka rekodi mpaka ya kuua wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi wa vitongoji?

Huyu hana unafuu wowote wa tofauti na mashetani wengine!! Anaua, anateka na anadhulumu haki za kidemokrasia.
 
Mleta nada, chukua huu upumba.vu wako uupeleke kwafamilia ya Ally Kibao, Soka na wale wengine zaidi ya 100 aliowapoteza.

Wanajukwaa msimshangae mleta mada, mjue tu kuwa hata majambazi yakikutana, huyasifia majambazi mengine yanayowazidi uharamia.

Mleta mada yumkini akawa ni miongoni mwa wanaotumika kuteka na kuua watu wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom