Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 880
- 971
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.
Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.
Amefungua milango kwa majadiliano ya kisiasa kati ya vyama vyote Nchini, hali inayoleta mshikamano wa kitaifa na kukuza maendeleo ya demokrasia.
Ameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kuendelea bila vikwazo, jambo lililorejesha imani kwa Viongozi wa Kisiasa na Wananchi kwa ujumla katika siasa za ushindani wa haki.
Pia kupitia Uongozi wake Dkt Samia amewapa Viongozi wakisiasa fursa ya kuwafikia wananchi na wafuasi wa vyama vyao, kueleza sera zao na kushiriki katika mijadala ya kitaifa kwa uhuru zaidi.
Kama haitoshi na kwa ukubwa wake ameimarisha uhuru wa vyombo vya habari ambao haukuwepo huko nyuma kwa kuondoa vikwazo vilivyokuwa vinazuia utendaji huru wa Wanahabari.
Haya ni baadhi tu ya machache katika mengi ambayo ameifanyia Tanzania yetu katika kuimarisha Demokrasia