Hamduni
Senior Member
- Apr 25, 2020
- 172
- 118
πππ§. π¦ππ ππ π‘π π§π¨π₯π¨ππ¨ π¬π πππ ππͺπ πͺππ§ππ‘πππ‘ππ π¨πππππ¨ππ π ππ¨π¨ 2025
Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika kuimarisha uchumi, kuleta maendeleo, na kuhakikisha mshikamano wa kitaifa. Kama mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameonesha kuwa uongozi bora haupimwi kwa jinsia, bali kwa maono, uchapa kazi wake na utekelezaji wa ahadi kwa vitendo.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika kipindi chake cha miaka 4, Rais Samia amesimamia kukamilika na uendelezaji wa miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR), Bwawa la Umeme la Julius Nyerere ,Uwekezaji mkubwa Bandari ya Dar es salaam, Uwanja wa Ndege wa Msalato, Daraja la Kigongo Busisi, na Upanuzi wa Huduma za Maji Safi na Umeme Mijini na Vijijini. Ameboresha sekta za afya na elimu kwa kujenga Shule na Hospitali, kuongeza upatikanaji wa vifaa tiba, na kuboresha maisha ya Wafanyakazi. Jitihada zake za kuvutia wawekezaji zimeimarisha Uchumi wa Taifa na kupanua fursa za ajira kwa Watanzania walio wengi.
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwahi kusema; "πΎπππππππ ππ πππππ ππππππ ππ πππππ ππππ; πππππππ ππππππ ππππππππ ππππππ πππ ππ πππππ." Mwalimu Nyerere alitambua uwezo wa wanawake katika kuleta mabadiliko. Kauli yake imejidhihirisha kupitia uongozi wa Rais Samia, ambaye amekuwa mfano bora wa utekelezaji wa maono hayo kwa vitendo.
Rais Samia mara kwa mara amesisitiza kuwa wanawake si wanyonge. aliwahi kusema; "π²πππ π΄πππππππ, πππππππππ ππππππππ πππππππ πππππ πππππππ ππππππππ ππππππ." Kupitia hotuba zake na vitendo vyake, amewahamasisha wanawake kote nchini kushiriki kikamilifu katika maendeleo. Pia ameongeza uwakilishi wa wanawake kwenye nafasi za uongozi serikalini na taasisi mbalimbali.
Uongozi wake umethibitisha kuwa CCM ni Chama kinachojali maslahi ya wananchi. Miradi inayotekelezwa ambayo imegusa maisha ya watu wa kawaida ni udhihirisho wa dhamira ya Chama ya kuleta maendeleo jumuishi. Rais Samia ameimarisha imani ya Watanzania kwa CCM kupitia uwajibikaji na utekelezaji wa ahadi za Chama.
Rais Samia ni mfano bora wa uongozi thabiti unaothamini mshikamano, maendeleo, na uwajibikaji. Ameonyesha kuwa wanawake ni nguzo muhimu ya maendeleo ya Taifa. Kwa utendaji wake wa bidii na maono amekuwa turufu ya CCM kwa Watanzania na kielelezo cha matumaini kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
CCM kwa aina ya Mgombea waliomteua haina shaka kuwa itashinda kwa kishindo na kuweka historia nyingine kwa kuwa na Mgombea Mwanamama wa Kwanza aliyeshinda Urais kwa kuchaguliwa kwa kura nyingi kuliko vipindi vingine vyote vya uongozi katika historia ya Tanzania.
#ππͺπ£πππ£πππ‘πππππππ’π