PostGE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

IMG-20251130-WA0013.jpg
IMG-20251130-WA0012.jpg
IMG-20251130-WA0015.jpg
IMG-20251130-WA0019.jpg
IMG-20251130-WA0017.jpg
 
𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗠𝗔𝗔𝗟𝗨𝗠𝗨 𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

#KazinaUtuTunasongaMbele
Ukiangalia hapo, huoni kabisa AKILI hata MOJA.

Ukilinganisha na tulikotoka, SIFURI kabisa.

Kamati kuu ni kina ponjoro ASAS.

images...jpeg
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

View attachment 3509451View attachment 3509450View attachment 3509454View attachment 3509457View attachment 3509452
Kumbe hizi njemba bado zipo?
 
Dkt Majimarefu. Hana Elimu mnalazimisha kumwita dkt. Akasome. Mnakimbia shule mje kuokoteza vyeo
 
Wanafanya kikao cha halmashauri kuu kwenye hema mstuni wanaogopa nini.

Au mnamuogopa kaka yake Polepole, ila kwa taarifa tu ni sniper mzoefu wa NATO.
 
Alijiteuwa kwenye chama akajipitisha kwenye urais Sasa alinywe si alitaka chai?
Anapita kipindi kigumu sana! Sijui kama ana ujasri wa kubaki miaka 5 ! Angalia sana kitu unachotaka kukipata kwa udi na uvumba! Mwenyezi Mungu anaweza kukupatia ukajuta! Huyu Mama anajuta! Ameingia kwenye historia ya umwagaji damu kubwa katika kuyapata madaraka! Hata kama wanadai hao walikuwa ni vibaka na waporaji! Bado Katiba ya nchi haiwaruhusu kufanya mauji waliyoyafanya!

Na hata kama wanadai ni wavamizi kutoka nje! Jeshi la Wananchi, Polisi Uhamiaji vimeonyesha udhaifu wa hali ya juu mno katika kipindi chake kuruhusu uvamizi huo! Hii sababu tosha tu ya kufumua vyombo vyote vya usalama na kuvisuka upya! Aibu kubwa, Hata TISS ililalala usingizi?

Hata kama unatoa support kubwa kwa CCM, huwezi kukimbia ukweli kuwa mfumo wa serikali na vyombo vyake, unahitaji kuangalia upya!
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

Hivi haya majitu bado yapo yanaendelea kutubagaza. Aisee nikipata chamoto najitoa muhanga. Waubiri D9!
 
Back
Top Bottom