PostGE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

Tunataka Tanganyika yetu.
 
Sura zimewashuka kuliko walevi wa gongo!
 
Tunakupenda Samia tupeleke nchi ya maziwa na asali
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

JOHN NCHIMBI mbona haonekani hapo badala yake anaonekana savimbi
 
Wasanii wao watatumbuiza hafla za kijeshi na wao watafanyia vikao jeshini.
Inawezekana Ile helkopta ya jeshi iliyorandaranda jana nchi nzima ilikuwa inaokota wajumbe .
 
Back
Top Bottom