Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Ukiangalia hapo, huoni kabisa AKILI hata MOJA.𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗠𝗔𝗔𝗟𝗨𝗠𝗨 𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.
#KazinaUtuTunasongaMbele
Na unaona wazi sura ya Rais inaonyesha msongo wa mawazo!Kikao kwenye tent
Alijiteuwa kwenye chama akajipitisha kwenye urais Sasa alinywe si alitaka chai?Na unaona wazi sura ya Rais inaonyesha msono wa mawazo!
Kumbe hizi njemba bado zipo?Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.
View attachment 3509451View attachment 3509450View attachment 3509454View attachment 3509457View attachment 3509452
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.
View attachment 3509451View attachment 3509450View attachment 3509454View attachment 3509457View attachment 3509452
😄 🤣Wanafanya kikao cha halmashauri kuu kwenye hema mstuni wanaogopa nini.
Muda sio rafiki...Nawashauri waanze kujipanga kuondoka kama kuna nyaraka za hovyo waanze kuzichoma kufuta ushahidi muda sio rafiki Kwa chama cha mapinduzi huo ndio ukweli.
Anapita kipindi kigumu sana! Sijui kama ana ujasri wa kubaki miaka 5 ! Angalia sana kitu unachotaka kukipata kwa udi na uvumba! Mwenyezi Mungu anaweza kukupatia ukajuta! Huyu Mama anajuta! Ameingia kwenye historia ya umwagaji damu kubwa katika kuyapata madaraka! Hata kama wanadai hao walikuwa ni vibaka na waporaji! Bado Katiba ya nchi haiwaruhusu kufanya mauji waliyoyafanya!Alijiteuwa kwenye chama akajipitisha kwenye urais Sasa alinywe si alitaka chai?
Hivi haya majitu bado yapo yanaendelea kutubagaza. Aisee nikipata chamoto najitoa muhanga. Waubiri D9!Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa umeya wa majiji, manispaa, na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.