Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Hii ni kwa sababu:
1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili.
2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka.
3. Ngwe ya mwisho ni ya kujenga legacy yake.
4. Wanachama wenzake wenye ushawishi wataanza kujipanga kumrithi na hivyo kutoa nafasi nzuri kwa wapinzani kuitoa CCM madaraka. Hii ni kwa sababu hawatakuwa na nguvu ya urais wakati wanajipanga.
5. SSH asipogombea kwa sababu yeyote kutazidisha ufa katika chama chake na Muungano wetu. Hali hiyo haitakuwa na afya kwa taifa letu.
Mwisho, naamini kuwa Bunge na Halmashauri zitakuwa na uwakilishi zaidi kutoka katika vyama vya upinzani ambao utazidisha presha ya mabadiliko. Na vyama vya upinzani vikijipanga vizuri, 2030 unaweza kuwa uchaguzi wa mabadiliko.
Amandla...