shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
naye tapigwa na dunia na MunguGTs,
Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa kusikiliza kero na kutolea uamuzi na maandamano yaishe.
Inavyoonekana kuna mpango wa kufanya maandamano kiwe kigezo cha kumuondoa asigombee 2025 hasa hao polisi wakitumia nguvu kubwa.
Ushauri wangu: Dkt Samia bado Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana aendelee kutuongoza maana uongozi wake umeonesha uthubutu ktk kuleta maendeleo.
Nawasilisha
Tatizo walio karibu na Rais hawamuambii ukweli. Mtu aliyempoteza ndugu yake au rafiki yake na analia kuomboleza ni vigumu kumzuia asilie. Polisi walinde maandamano kuhakikisha vurugu haitokei basi na yatapita tu.GTs,
Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa kusikiliza kero na kutolea uamuzi na maandamano yaishe.
Inavyoonekana kuna mpango wa kufanya maandamano kiwe kigezo cha kumuondoa asigombee 2025 hasa hao polisi wakitumia nguvu kubwa.
Ushauri wangu: Dkt Samia bado Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana aendelee kutuongoza maana uongozi wake umeonesha uthubutu ktk kuleta maendeleo.
Nawasilisha
Kabisa. Yaani kama washauri wengi wanaomzunguka rais wanahofia kupoteza vyeo zaidi kuliko kumshauri kwa maslahi mapana ya nchiTatizo walio karibu na Rais hawamuambii ukweli. Mtu aliyempoteza ndugu yake au rafiki yake na analia kuomboleza ni vigumu kumzuia asilie. Polisi walinde maandamano kuhakikisha vurugu haitokei basi na yatapita tu.
Ushauri mzuri ila tu hapa ndio unakosea.Ushauri wangu: Dkt Samia bado Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana aendelee kutuongoza maana uongozi wake umeonesha uthubutu ktk kuleta maendeleo.
Nani anaweza kuvumilia ndugu yake akitekwa na kuuawa bila hatia? Mbona watu wanajisahau kama si binadamu?Kabisa. Yaani kama washauri wengi wanaomzunguka rais wanahofia kupoteza vyeo zaidi kuliko kumshauri kwa maslahi mapana ya nchi
Naunga mkono hojaGTs,
Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa kusikiliza kero na kutolea uamuzi na maandamano yaishe.
Inavyoonekana kuna mpango wa kufanya maandamano kiwe kigezo cha kumuondoa asigombee 2025 hasa hao polisi wakitumia nguvu kubwa.
Ushauri wangu: Dkt Samia bado Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana aendelee kutuongoza maana uongozi wake umeonesha uthubutu ktk kuleta maendeleo.
Nawasilisha
Nani kakupa huo usemaji wa sisi wote?Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana