shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
GTs,
Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji badala yake wawalinde na yeye ikiwezekana ahutubie kwenye hayo maandamano uwe ni wakati wake wa kusikiliza kero na kutolea uamuzi na maandamano yaishe.
Inavyoonekana kuna mpango wa kufanya maandamano kiwe kigezo cha kumuondoa asigombee 2025 hasa hao polisi wakitumia nguvu kubwa.
Ushauri wangu: Dkt Samia bado Tanzania na watanzania tunamuhitaji sana aendelee kutuongoza maana uongozi wake umeonesha uthubutu ktk kuleta maendeleo.
Nawasilisha