Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

Kuna mtu alinibishia kwamba hakuna mtu aliewai kupona ukimwi.
 
Mtafute Deception ameelezea kwa urefu sana juu ya HIV/AIDS
 
Huu ugumu tunao uona ni kwasababu ya mazoea tu ndugu yangu.
Ila ukiumwa utafanya tu hizo tiba.
Kweli kabisa, Mimi Leo nilikuwa najiuliza hivi kitu gani kinashindikana kutumia mchanganyo wa vitu Kama limao, tangawizi, mdalasini na asali kwenye maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi kikombe kimoja kabla ya kuanza mishemishe Kama kifungua kinywa? Kama sio mazoea ya kunywa chai na chapati au supu na chapati ni nini? Ukiangalia maandalizi yake sio magumu wala havina gharama

Watu watasema asali lita moja ni elfu 15, ni kweli kabisa. Kwani supu na chapati mbili ni shilling ngapi? Tukifanya elfu 3 halafu tukazidisha kwa wiki si inatosha kununua asali na hivyo vikolombwezo vingine.

Mazoea tu ndo shida yetu kabisa kabisa
 
Hii ilifanya shule zipewe kipaumbele zaidi ili wachache wapone na wengi wateketee katika uzungukeni bila wao kujua.
 
Siku zote Mzungu haitatokea ampende mtu Mweusi akimpenda ujue wana ajenda nyuma ya pazia

Bahati mbaya tumepumbazwa kwa kudharau vya kwetu na kuamini upumbavu wao
Mtanzania akimuona mtu anauza traditional medicine anamdharau
t
Ukiumwa TB na Tetenas utatibiwa wapi? Nani mtafiti wa bongo aliyevumbua ARV?
 
Hiyo ni biashara ya Mabeberu ndio maana wanadumaza utafiti kwenye maabara za kiafrica
Israel alikuwa anakaribia kugundua dawa ya ukimwi ila aka stopishwa na wenye biashara yao

Kuna madaktari kule Sweden ndege yao iliangushwa, wakafariki wote
Lilie jopo lilikuwa kwenye hatua za mwinyo kwenye research ya tiba ya ukimwi

Hiyo ni biashara dada
t
Ukiumwa TB na Tetenas utatibiwa wapi? Nani mtafiti wa bongo aliyevumbua ARV?
 
Muda wote umekaa unaandika ushenzi paragraph kibao nani apoteze muda kusoma?

Katibu ukimwi wazungu wakamuua? Hahaha nonsense. Watu mnawaover estimate wazungu, hivi mnahisi mzungu ni mungu kwamba anaweza kila kitu hapa duniani? Amekaa anachukia binadamu wengine wote anataka kutuua? Hujui wazungu pia wana ukimwi?

Msikae mnapoteza muda kusoma conspiracy theories online.
 
Tuko kinadharia mno tunashindwa hata kuzidefend tiba zetu ukiulizwa inatibu vipi unaanza kuongea miujiza ya yesu muhimu basi naacha hapohapo wao wanagonga mbele na fact
 
Mungu wangu kumbe Ukimwi no dili za mabeberu. Ndio maana uwa wanatutishia kuacha kutoa misaada ya condom na ARV
b
 
Ukiacha hiyo kesi ya kuthibitisha kutibu ukimwi kuna kesi nyingine kubwa ilimkabili ukiacha hiyo ya utakatishaji hela? Hakufanya kazi kwa uhuru wakati alikuwa akiuza dawa na kutibu watu maarufu?
 
Nilishamfatilia miaka mingi hata kabla haujaleta hii maada, hakuwa tishio ndio maana aliachwa akafanya biashara zake za kuuza dawa.
 
Tuachane na hiyo dawa ya ukimwi, ni dawa gani aliyoiacha inayotibu maradhi ambao watu weusi mnajivunia?
 
Hii mada nzuri sana...
 
Waafrica wenyewe hatujiamini. So sad kuna watu wamekuwa brainwashed anawaona Wazungu watu wa maana hadi kuwatetea watuibie raslimali
Hawa watu weupe tuwaache tu. Wamefanya mzr mengi. Mojawapo ni matumizi ya simu za kiganjani ambazo zinakuwezesha wewe na Mimi tu-comment hapa.
Ili sisi tufanikiwe inatakiwa tujitambue, tuheshimu mafanikio yao na tuachane na visingizio kwamba sababu za sisi kuchemsha ni kwasababu ya mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…